Recent Post

Breaking News

SOKO LA SIDO LASHIKA MOTO MJINI MBEYA.

Soko la SIDO lililoko mjini mbeya lashika moto kwenye mida ya saa mbili kasoro leo usiku tarehe 15. mpaka sasa haijafahamika chanzo cha moto huo japo kuwa zima moto wanajitahidi kuendelea kuuzima lakini moto bado ni mkubwa zaidi.


No comments